Tuesday, January 4, 2011

Makeup kit na brush

 Image via
image via
Una sherehe unataka kupaka makeup kwa bei poa,wasiliana nami.

Kadi za mwaliko - Harusi


Images via
Kadi zapendeza! Pia natengeneza kadi za harusi,za kitchen part,birthday,sendoff kama unatahitaji wasiliana nami.

Monday, January 3, 2011

Keki




Image courtesy ericaobrien

Keki zinapendeza kutoka ericaobrien.Kama unasherehe yako au ya mtoto wasiliana nami kama utahitaji keki.